Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 6:17-18

Warumi 6:17-18 NEN

Lakini Mungu ashukuriwe kwa kuwa ninyi ambao kwanza mlikuwa watumwa wa dhambi, mmekuwa watii kutoka moyoni kwa mafundisho mliyopewa. Nanyi, mkiisha kuwekwa huru mbali na dhambi, mmekuwa watumwa wa haki.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 6:17-18