Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Tito 2:7-8

Tito 2:7-8 NEN

Katika kila jambo uwe kielelezo kwa kutenda mema. Katika mafundisho yako uonyeshe uadilifu, utaratibu, na usemi sahihi usio na lawama, ili wanaokupinga watahayari, wakose neno lolote baya la kusema juu yetu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Tito 2:7-8