Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 15:21-22

1 Kor 15:21-22 SUV

Maana kwa kuwa mauti ililetwa na mtu, kadhalika na kiyama ya wafu ililetwa na mtu. Kwa kuwa kama katika Adamu wote wanakufa, kadhalika na katika Kristo wote watahuishwa.

Soma 1 Kor 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 15:21-22