Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Pet 1:24-25

1 Pet 1:24-25 SUV

Maana, Mwili wote ni kama majani, Na fahari yake yote ni kama ua la majani. Majani hukauka na ua lake huanguka; Bali Neno la Bwana hudumu hata milele. Na neno hilo ni neno lile jema lililohubiriwa kwenu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Pet 1:24-25