Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Pet 3:15-16

1 Pet 3:15-16 SUV

Mwe tayari siku zote kumjibu kila mtu awaulizaye habari za tumaini lililo ndani yenu; lakini kwa upole na kwa hofu. Nanyi mwe na dhamiri njema, ili katika neno lile mnalosingiziwa, watahayarishwe wale wautukanao mwenendo wenu mwema katika Kristo.

Soma 1 Pet 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Pet 3:15-16