Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Pet 3:8-9

1 Pet 3:8-9 SUV

Neno la mwisho ni hili; mwe na nia moja, wenye kuhurumiana, wenye kupendana kama ndugu, wasikitikivu, wanyenyekevu; watu wasiolipa baya kwa baya, au laumu kwa laumu; bali wenye kubariki; kwa sababu hayo ndiyo mliyoitiwa ili mrithi baraka.

Soma 1 Pet 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Pet 3:8-9