Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 The 3:11-13

1 The 3:11-13 SUV

Basi Mungu mwenyewe, Baba yetu, na Bwana wetu Yesu, atuongoze njia yetu tufike kwenu. Bwana na awaongeze na kuwazidisha katika upendo, ninyi kwa ninyi, na kwa watu wote, kama vile sisi nasi tulivyo kwenu; apate kuifanya imara mioyo yenu iwe bila lawama katika utakatifu mbele za Mungu, Baba yetu, wakati wa kuja kwake Bwana wetu Yesu pamoja na watakatifu wake wote.

Soma 1 The 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 The 3:11-13