Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 The 5:23-24

1 The 5:23-24 SUV

Mungu wa amani mwenyewe awatakase kabisa; nanyi nafsi zenu na roho zenu na miili yenu mhifadhiwe mwe kamili, bila lawama, wakati wa kuja kwake Bwana wetu Yesu Kristo. Yeye ni mwaminifu ambaye awaita, naye atafanya.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 The 5:23-24