1 Wathesalonike 5:23-24
1 Wathesalonike 5:23-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu mwenyewe anayetupatia amani awatakase nyinyi kabisa kwa kila namna na kuzilinda nafsi zenu – roho, mioyo na miili yenu – mbali na hatia yoyote wakati wa kuja kwake Bwana wetu Yesu Kristo. Yeye anayewaita nyinyi atafanya hivyo kwani ni mwaminifu.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 51 Wathesalonike 5:23-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu wa amani mwenyewe awatakase kabisa; nanyi nafsi zenu na roho zenu na miili yenu mhifadhiwe muwe kamili, bila lawama, wakati wa kuja kwake Bwana wetu Yesu Kristo. Yeye ni mwaminifu ambaye awaita, naye atafanya.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 51 Wathesalonike 5:23-24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mungu wa amani mwenyewe awatakase kabisa; nanyi nafsi zenu na roho zenu na miili yenu mhifadhiwe mwe kamili, bila lawama, wakati wa kuja kwake Bwana wetu Yesu Kristo. Yeye ni mwaminifu ambaye awaita, naye atafanya.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 5