Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Kor 4:16-17

2 Kor 4:16-17 SUV

Kwa hiyo hatulegei; bali ijapokuwa utu wetu wa nje unachakaa, lakini utu wetu wa ndani unafanywa upya siku kwa siku. Maana dhiki yetu nyepesi, iliyo ya muda wa kitambo tu, yatufanyia utukufu wa milele uzidio kuwa mwingi sana

Soma 2 Kor 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Kor 4:16-17