Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Kor 5:15-16

2 Kor 5:15-16 SUV

tena alikufa kwa ajili ya wote, ili walio hai wasiwe hai tena kwa ajili ya nafsi zao wenyewe, bali kwa ajili yake yeye aliyekufa akafufuka kwa ajili yao. Hata imekuwa, sisi tangu sasa hatumjui mtu awaye yote kwa jinsi ya mwili. Ingawa sisi tumemtambua Kristo kwa jinsi ya mwili, lakini sasa hatumtambui hivi tena.

Soma 2 Kor 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Kor 5:15-16