Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Sam 9:7

2 Sam 9:7 SUV

Daudi akamwambia, Usiogope, maana bila shaka nitakutendea mema; kwa ajili ya Yonathani, baba yako, nami nitakurudishia mashamba yote ya Sauli, baba yako; nawe utakula chakula mezani pangu daima.

Soma 2 Sam 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Sam 9:7