Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Samweli 9:7

2 Samweli 9:7 SRUV

Daudi akamwambia, Usiogope, maana bila shaka nitakutendea mema; kwa ajili ya Yonathani, baba yako, nami nitakurudishia mashamba yote ya Sauli, babu yako; nawe utakula chakula mezani pangu daima.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Samweli 9:7