Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 The 2:16-17

2 The 2:16-17 SUV

Na Bwana wetu Yesu Kristo mwenyewe, na Mungu Baba yetu, aliyetupenda akatupa faraja ya milele na tumaini jema, katika neema, awafariji mioyo yenu, na kuwafanya imara katika kila neno na tendo jema.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 The 2:16-17