2 Wathesalonike 2:16-17
2 Wathesalonike 2:16-17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na Bwana wetu Yesu Kristo mwenyewe, na Mungu Baba yetu, aliyetupenda akatupa faraja ya milele na tumaini jema, katika neema, awafariji mioyo yenu, na kuwafanya imara katika kila neno na tendo jema.
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 22 Wathesalonike 2:16-17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na Bwana wetu Yesu Kristo mwenyewe, na Mungu Baba yetu, aliyetupenda akatupa faraja ya milele na tumaini jema, katika neema, awafariji mioyo yenu, na kuwafanya imara katika kila neno na tendo jema.
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 22 Wathesalonike 2:16-17 Biblia Habari Njema (BHN)
Tunamwomba Bwana wetu Yesu Kristo mwenyewe na Mungu Baba yetu ambaye alitupenda na kwa neema yake akatujalia faraja ya milele na tumaini jema, aifariji mioyo yenu na kuwaimarisheni ili muweze daima kutenda na kusema yaliyo mema.
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 2