Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 11:17-18

Mdo 11:17-18 SUV

Basi ikiwa Mwenyezi Mungu amewapa wao karama ile ile aliyotupa sisi tuliomwamini Bwana Yesu Kristo, mimi ni nani niweze kumpinga Mungu? Waliposikia maneno haya wakanyamaza, wakamtukuza Mungu, wakisema, Basi, Mungu amewajalia hata mataifa nao toba liletalo uzima.

Soma Mdo 11

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 11:17-18