Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 12:7

Mdo 12:7 SUV

Mara malaika wa Bwana akasimama karibu naye, nuru ikamulika mle chumbani, akampiga Petro ubavuni, akamwamsha, akisema, Ondoka upesi. Minyororo yake ikamwanguka mikononi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 12:7