Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 26:17-18

Mdo 26:17-18 SUV

nikikuokoa na watu wako, na watu wa Mataifa, ambao nakutuma kwao; uwafumbue macho yao, na kuwageuza waiache giza na kuielekea nuru, waziache na nguvu za Shetani na kumwelekea Mungu; kisha wapate msamaha wa dhambi zao, na urithi miongoni mwao waliotakaswa kwa imani iliyo kwangu mimi.

Soma Mdo 26

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 26:17-18