Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Dan 11:31-32

Dan 11:31-32 SUV

Na wenye silaha watasimama upande wake, nao watapatia unajisi mahali patakatifu, ndiyo ngome, nao wataondoa sadaka ya kuteketezwa ya kila siku, nao watalisimamisha chukizo la uharibifu. Na wao wafanyao maovu juu ya hilo agano atawapotosha kwa maneno ya kujipendekeza; lakini watu wamjuao Mungu wao watakuwa hodari, na kutenda mambo makuu.

Soma Dan 11

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Dan 11:31-32