Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kum 15:10-11

Kum 15:10-11 SUV

Mpe kwa kweli, wala moyo wako usisikitike utakapompa; kwa kuwa atakubarikia BWANA, Mungu wako, kwa neno hili katika kazi yako yote, na katika kila utakalotia mkono wako. Kwa maana maskini hawatakoma katika nchi milele; ndipo ninakuamuru na kukuambia, Mfumbulie kwa kweli mkono wako nduguyo, mhitaji wako, maskini wako, katika nchi yako.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kum 15:10-11