Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kum 28:12

Kum 28:12 SUV

Atakufunulia BWANA hazina yake nzuri, nayo ni mbingu, kwa kutoa mvua ya nchi yako kwa wakati wake, na kwa kubarikia kazi yote ya mkono wako; nawe utakopesha mataifa mengi, wala hutakopa wewe.

Soma Kum 28

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kum 28:12