Kumbukumbu la Sheria 28:12
Kumbukumbu la Sheria 28:12 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
BWANA atafungua mbingu, ghala zake za baraka, kukupa mvua kwa majira yake na kubariki kazi zako zote za mikono yako. Utakopesha mataifa mengi lakini hutakopa kwa yeyote.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28Kumbukumbu la Sheria 28:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu atawafungulieni hazina yake nzuri kutoka mbinguni na kunyesha mvua katika nchi kwa wakati wake, na kubariki kazi zenu. Mtayakopesha mataifa mengi, lakini nyinyi hamtakopa.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28Kumbukumbu la Sheria 28:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Atakufunulia BWANA hazina yake nzuri, nayo ni mbingu, kwa kutoa mvua ya nchi yako kwa wakati wake, na kwa kubarikia kazi yote ya mkono wako; nawe utakopesha mataifa mengi, wala hutakopa wewe.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28Kumbukumbu la Sheria 28:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Atakufunulia BWANA hazina yake nzuri, nayo ni mbingu, kwa kutoa mvua ya nchi yako kwa wakati wake, na kwa kubarikia kazi yote ya mkono wako; nawe utakopesha mataifa mengi, wala hutakopa wewe.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28