Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 22:22-23

Kut 22:22-23 SUV

Usimtese mjane ye yote aliyefiwa na mumewe, wala mtoto yatima. Ukiwatesa watu hao katika neno lo lote, nao wakanililia mimi, hakika yangu nitasikia kilio chao

Soma Kut 22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 22:22-23