Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 32:5-6

Kut 32:5-6 SUV

Naye Haruni alipoona jambo hili, akajenga madhabahu mbele yake; Haruni akatangaza akasema, Kesho itakuwa sikukuu kwa BWANA. Wakaondoka asubuhi na mapema, wakatoa dhabihu, wakaleta sadaka za amani, watu wakaketi kula na kunywa, wakaondoka wacheze.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 32:5-6