Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 32:5-6

Kutoka 32:5-6 SRUV

Naye Haruni alipoona jambo hili, akajenga madhabahu mbele yake; Haruni akatangaza akasema, Kesho itakuwa sikukuu kwa BWANA. Wakaondoka asubuhi na mapema, wakatoa dhabihu, wakaleta sadaka za amani, watu wakaketi kula na kunywa, wakaondoka wacheze.

Soma Kutoka 32

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 32:5-6