Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 4:14

Kut 4:14 SUV

Hasira ya BWANA ikawaka juu ya Musa, akasema, Je! Hayuko Haruni, ndugu yako, Mlawi? Najua ya kuwa yeye aweza kusema vizuri. Pamoja na hayo, tazama, anakuja kukulaki; naye atakapokuona, atafurahi moyoni mwake.

Soma Kut 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 4:14