Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Eze 37:7-8

Eze 37:7-8 SUV

Basi nikatoa unabii kama nilivyoamriwa; hata nilipokuwa nikitoa unabii, palikuwa na mshindo mkuu; na tazama, tetemeko la nchi, na ile mifupa ikasogeleana, mfupa kwa mfupa mwenziwe. Nikatazama, kumbe! Kulikuwa na mishipa juu yake, nyama ikatokea juu yake, ngozi ikaifunika juu yake; lakini haikuwamo pumzi ndani yake.

Soma Eze 37

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Eze 37:7-8