Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Eze 8:12

Eze 8:12 SUV

Kisha akaniambia, Mwanadamu, umeyaona wanayotenda wazee wa nyumba ya Israeli gizani, kila mtu ndani ya vyumba vyake vya sanamu? Maana husema, BWANA hatuoni; BWANA ameiacha nchi hii.

Soma Eze 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Eze 8:12