Ezekieli 8:12
Ezekieli 8:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kisha akaniambia, Mwanadamu, umeyaona wanayotenda wazee wa nyumba ya Israeli gizani, kila mtu ndani ya vyumba vyake vya sanamu? Maana husema, BWANA hatuoni; BWANA ameiacha nchi hii.
Shirikisha
Soma Ezekieli 8Ezekieli 8:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Mungu akaniambia, “Wewe mtu, umeona wanayotenda wazee wa Waisraeli gizani, kila mtu katika chumba chake cha sanamu. Wanadai ati Mwenyezi-Mungu hatuoni. Mwenyezi-Mungu ameiacha nchi.”
Shirikisha
Soma Ezekieli 8