Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 12:2-3

Mwa 12:2-3 SUV

nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka; nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 12:2-3