Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 14:22-23

Mwa 14:22-23 SUV

Abramu akamwambia mfalme wa Sodoma, Nimeinua mkono wangu kwa BWANA, Mungu Aliye juu sana, Muumba mbingu na nchi, ya kuwa sitatwaa uzi wala gidamu ya kiatu wala cho chote kilicho chako, usije ukasema, Nimemtajirisha Abramu

Soma Mwa 14

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 14:22-23