Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 20:6-7

Mwa 20:6-7 SUV

Mungu akamwambia katika ndoto, Nami nimejua ya kwamba kwa ukamilifu wa moyo wako umefanya hivi, ndipo nami nikakuzuia usinitendee dhambi, kwa hiyo sikukuacha umguse. Basi sasa umrudishe mwanamke kwa mtu huyo, maana yeye ni nabii, naye atakuombea, upate kuishi. Bali usipomrudisha, fahamu ya kwamba kwa hakika utakufa wewe na watu wote ulio nao.

Soma Mwa 20

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 20:6-7