Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 27:28-29

Mwa 27:28-29 SUV

Mungu na akupe ya umande wa mbingu, Na ya manono ya nchi, Na wingi wa nafaka na mvinyo. Mataifa na wakutumikie Na makabila wakusujudie, Uwe bwana wa ndugu zako, Na wana wa mama yako na wakusujudie. Atakayekulaani alaaniwe, Na atakayekubariki abarikiwe.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 27:28-29