Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 35:11-12

Mwa 35:11-12 SUV

Mungu akamwambia, Mimi ni Mungu Mwenyezi, uzidi ukaongezeke. Taifa na kundi la mataifa watatoka kwako, na wafalme watatoka viunoni mwako. Na nchi hii niliyowapa Ibrahimu na Isaka nitakupa wewe, na uzao wako baada yako nitawapa nchi hiyo.

Soma Mwa 35

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 35:11-12