Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ebr 13:20-21

Ebr 13:20-21 SUV

Basi, Mungu wa amani aliyemleta tena kutoka kwa wafu Mchungaji Mkuu wa kondoo, kwa damu ya agano la milele, yeye Bwana wetu Yesu, awafanye ninyi kuwa wakamilifu katika kila tendo jema, mpate kuyafanya mapenzi yake, naye akifanya ndani yetu lipendezalo mbele zake, kwa Yesu Kristo; utukufu una yeye milele na milele. Amina.

Soma Ebr 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ebr 13:20-21