Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 13:20-21

Waebrania 13:20-21 BHN

Mungu amemfufua katika wafu Bwana wetu Yesu Kristo ambaye ni Mchungaji Mkuu wa kondoo kwa sababu ya kumwaga damu yake iliyothibitisha agano la milele. Mungu wa amani awakamilishe katika kila tendo jema ili mtekeleze matakwa yake; yeye na afanye ndani yetu kwa njia ya Kristo yale yanayompendeza mwenyewe. Utukufu uwe kwake, milele na milele! Amina.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waebrania 13:20-21