Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isa 53:12

Isa 53:12 SUV

Kwa hiyo nitamgawia sehemu pamoja na wakuu, Naye atagawanya nyara pamoja nao walio hodari; Kwa sababu alimwaga nafsi yake hata kufa, Akahesabiwa pamoja na hao wakosao. Walakini alichukua dhambi za watu wengi, Na kuwaombea wakosaji.

Soma Isa 53

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isa 53:12