Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Yak 1:2-4

Yak 1:2-4 SUV

Ndugu zangu, hesabuni ya kuwa ni furaha tupu, mkiangukia katika majaribu mbalimbali; mkifahamu ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huleta saburi. Saburi na iwe na kazi kamilifu, mpate kuwa wakamilifu na watimilifu bila kupungukiwa na neno.

Soma Yak 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yak 1:2-4