Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yer 22:15-16

Yer 22:15-16 SUV

Je! Utatawala kwa sababu unashindana na watu kwa mierezi? Baba yako, je! Hakula na kunywa, na kufanya hukumu na haki? Hapo ndipo alipofanikiwa. Alihukumu maneno ya maskini na mhitaji; hapo ndipo alipofanikiwa. Je! Huku siko kunijua, asema BWANA?

Soma Yer 22