Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yer 32:39-40

Yer 32:39-40 SUV

nami nitawapa moyo mmoja na njia moja, wapate kunicha sikuzote; kwa mema yao, na ya watoto wao baada yao; nami nitafanya agano la milele pamoja nao, kwamba sitageuka wala kuwaacha, ili niwatendee mema; nami nitatia kicho changu mioyoni mwao, ili wasiniache.

Soma Yer 32