Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 32:39-40

Yeremia 32:39-40 BHN

Nitawapa moyo mmoja na nia moja, wapate kunicha mimi daima, kwa faida yao wenyewe na kwa faida ya watoto wao watakaofuata. Nitafanya nao agano la milele, kwamba sitaacha kamwe kuwatendea mema; nitaweka mioyoni mwao uchaji wangu ili wasiniache tena.

Soma Yeremia 32