Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 11:43-44

Yn 11:43-44 SUV

Naye akiisha kusema hayo, akalia kwa sauti kuu, Lazaro, njoo huku nje. Akatoka nje yule aliyekufa, amefungwa sanda miguuni na mikononi, na uso wake amefungwa leso. Naye Yesu akawaambia, Mfungueni, mkamwache aende zake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 11:43-44