Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 11:43-44

Yohana 11:43-44 SRUV

Naye akiisha kusema hayo, akalia kwa sauti kuu, Lazaro, njoo huku nje. Akatoka nje yule aliyekufa, akiwa amefungwa sanda miguuni na mikononi, na uso wake amefungwa leso. Naye Yesu akawaambia, Mfungueni, mkamwache aende zake.

Soma Yohana 11

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 11:43-44