Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 13:4-5

Yn 13:4-5 SUV

aliondoka chakulani; akaweka kando mavazi yake, akatwaa kitambaa, akajifunga kiunoni. Kisha akatia maji katika bakuli, akaanza kuwatawadha wanafunzi miguu, na kuifuta kwa kile kitambaa alichojifunga.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 13:4-5