Yohane 13:4-5
Yohane 13:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, aliondoka mezani, akaweka kando vazi lake, akachukua kitambaa na kujifunga kiunoni. Kisha akatia maji katika bakuli, akaanza kuwaosha wanafunzi wake miguu na kuipangusa kwa kile kitambaa alichojifungia.
Shirikisha
Soma Yohane 13Yohane 13:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
aliondoka chakulani; akaweka kando mavazi yake, akatwaa kitambaa, akajifunga kiunoni. Kisha akatia maji katika bakuli, akaanza kuwaosha wanafunzi miguu, na kuifuta kwa kile kitambaa alichojifunga.
Shirikisha
Soma Yohane 13