Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 9:2-3

Yn 9:2-3 SUV

Wanafunzi wake wakamwuliza wakisema, Rabi, ni yupi aliyetenda dhambi, mtu huyu au wazazi wake, hata azaliwe kipofu? Yesu akajibu, Huyu hakutenda dhambi, wala wazazi wake; bali kazi za Mungu zidhihirishwe ndani yake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 9:2-3