Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayu 1:20-22

Ayu 1:20-22 SUV

Ndipo Ayubu akainuka, akalirarua joho lake, kisha akanyoa kichwa chake, na kuanguka chini, na kusujudia; akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nili uchi, nami nitarudi tena huko uchi vilevile; BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe. Katika mambo hayo yote Ayubu hakufanya dhambi, wala hakumwazia Mungu kwa upumbavu.

Soma Ayu 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayu 1:20-22