Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayu 34:10-11

Ayu 34:10-11 SUV

Kwa hiyo nisikilizeni, enyi wenye fahamu; Mungu asidhaniwe kutenda udhalimu; Wala Mwenyezi kufanya uovu. Kwani atamlipa binadamu kwa kazi yake, Naye atamfanya kila mtu kuona sawasawa na njia zake

Soma Ayu 34

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayu 34:10-11