Yobu 34:10-11
Yobu 34:10-11 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Hivyo nisikilizeni mimi, ninyi watu wenye ufahamu. Kamwe Mungu hatendi uovu, Mwenyezi hafanyi kosa. Humlipa mwanadamu kwa ajili ya lile alilotenda; huleta juu yake kile ambacho matendo yake yanastahili.
Shirikisha
Soma Yobu 34Yobu 34:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kwa hiyo nisikilizeni, enyi wenye ujuzi. Mungu kamwe hawezi kufanya uovu; Mungu Mwenye Nguvu hawezi kufanya kosa. Mungu atamlipa mtu kadiri ya matendo yake, atamlipiza kulingana na mwenendo wake.
Shirikisha
Soma Yobu 34