Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yon 3:10

Yon 3:10 SUV

Mungu akaona matendo yao, ya kuwa wameiacha njia yao mbaya. Basi Mungu akalighairi neno lile baya, ambalo alisema atawatenda; asilitende.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yon 3:10